BBC-Swahili
Sample Text
Habari
Social Icons
Blog Archive
-
▼
2013
(14)
-
▼
June
(14)
- RAIS KIKWETE AFANYA UFUNGUZI WA MKUTANO WA SMART P...
- SEHEMU YA UJIO WA OBAMA ITAKAVYO KUWA KATIKA ANGA ...
- RAIA WA AFRIKA KUSINI WAJITOKEZA KATIKA MAANDAMANO...
- MSANII LADY JAYDEE AANZISHA BIFU JIPYA NA FAtuma.
- TUNAOMBA RADHI: MVULANA NA MSICHANA WAJINYONGA HAD...
- GARI ALILOKUWA ANASAFIRISHWA MZEE NELESON MANDELA ...
- RAIS KIKWETE WAKATI WA SHEREHE ZA MIAKA 25 YA KUTI...
- WEMA SEPETU NA UTUMIAJI WA MIKOROGO, YADAIWA YAMHA...
- BOMU LAWATESA CCM, POLISI.
- VICHWA VYA MAGAZETI JUMAMOSI JUNI 22/ 2013.
- WAZIRI MKUU ANAHAMASISHA UKIUKAJI WA KATIBA NA SHE...
- SIKIA HIKI KISA: HAPAMWANAMKE AKILI NA KUPANGA NJA...
- BALOZI IDD SEIF AMTEMBELEA SHEHA ALIEMWAGIWA TINDI...
- MWANAFUNZI APIGWA RISASI TUMBONI CHUO KIKUU CHA UDSM
-
▼
June
(14)
About Me
- Koka Albert
- I would like to welcome all the interested people to join the blog and together we help each other to reach our goals.
Featured Posts
Sample Text
Latest Post
Showing posts with label Michezo. Show all posts
Showing posts with label Michezo. Show all posts
8:41 AM
MSANII LADY JAYDEE AANZISHA BIFU JIPYA NA FAtuma.
Written By Koka Albert on Saturday, June 22, 2013 | 8:41 AM
Labels:
Michezo
8:39 AM
WEMA SEPETU NA UTUMIAJI WA MIKOROGO, YADAIWA YAMHARIBIA MUONEKANO WAKE.
Matumizi mabaya ya vipodozi yameanza kumuathiri wema Sepetu ambaye ni miss Tanzania 2006.
Wema ambaye umri wake bado haujamtupa , hivi sasa anakabiriwa na tatizo
la ngozi kutokana na michirizi kusambaa mwili mzima hasa mapajani.
Kamera zetu si mara ya kwanza kumshuhudia Mrembo huyu akizingirwa na uzee kwani miezi kadhaa nyuma tuliwahi andika habari inayofanana na hii lakini ikielezea zaidi michirizi ya mapajani.
Tofauti na hivyo, hivi sasa michirizi hiyo imekimbilia kifuani na
mabegani hali inayoashiria kwamba siku si nyingi itahamia usoni...
"Ukweli Wema Sepetu sasa amebaki sura tu,mwili umemtupa kabisa .Nadhani
hii yote inatokana na matumizi mabaya ya mikorogo"...alisema shuhuda
mmoja akimtazama Wema sepetu aliyekuwa jaji katika shindano moja la
umiss jijini Dar
Baada ya kumsikia shuhuda huyo akimtoa kasoro mrembo huyo, mwandishi
wetu alitinga nyumbani kwa Wema Sepetu kufanya naye mahojiano juu ya
jambo hili
Alipofika nyumbani hapo, mwandishi wetu aligonga geti na kufunguliwa na
dada mmoja ambaye alidai kuwa maadam Wema alikuwa amelala na kwamba
hawezi kuamshwa mpaka aamke mwenyewe.
Labels:
Michezo
11:01 PM
BENDI YA MSONDO NGOMA YAPAGAWISHA ILALA
Written By Koka Albert on Sunday, November 4, 2012 | 11:01 PM
| Mpiga gila la Ridhim Wa msondo ngoma Zahoro Bangwe akizikung'uta nyuzi wakati wa onesho la bendi hiyo lililofanyika jumapili katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni |
Labels:
Michezo
11:48 AM

AIRTEL YAWAZAWADIA 500% BONUS YA MUDA WA MAONGEZI KWA WATEJA WAKE
Written By Koka Albert on Wednesday, October 24, 2012 | 11:48 AM
Mkurugenzi
Mkuu wa Airtel Tanzania Sam Elangalloor (katikati) pamoja Mkurugenzi wa
mawasiliano wa Airtel Beatrice Singano Mallya (kushoto) na Mkurugenzi wa Masoko Cheikh Saar (kulia) kwa pamoja wakionyesha
moja ya vipeperushi vya promosheni mpya ya “ Jipatie Mara “ wakati wa
uzinduzi wa promosheni mpya inayowawezesha wateja wa Airtel kupata mara
tano ya muda wa maongezi kutokana na wastani wa kiwango cha pesa watakayotumia kila siku. Uzinduzi huo umefanyika leo katika ofisi za makao makuu ya Airtel morocco.
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Sam Elangalloor akiongea na
waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni ya “Jipatie Mara
5” inayowawezesha wateja wa Airtel kupata mara tano ya wastani wa
kiwango cha pesa watakayotumia kila siku ikiwa ni sawa na 500% bonus ya
muda wa maongezi. Uzinduzi huo umefanyika leo katika ofisi za makao
makuu ya Airtel morocco.
Mkurugenzi wa Masoko Cheikh Saar akifafanua jambo wakati wa uzinduzi
wa promosheni ya “Jipatie Mara 5” inayowawezesha wateja wa Airtel
kupata mara tano ya wastani wa kiwango cha pesa watakayotumia kila siku.
Uzinduzi huo umefanyika leo katika ofisi za makao makuu ya Airtel
morocco. katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Sam Elangalloor
akifatiwa na Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Beatrice Singano
Mallya.
Mkurugenzi
Mkuu wa Airtel Tanzania Sam Elangalloor akiongea na waandishi wa
habari wakati wa uzinduzi wa promosheni ya “Jipatie Mara 5”
inayowawezesha wateja wa Airtel kupata mara tano ya wastani wa kiwango
cha pesa watakayotumia kila siku . Uzinduzi huo umefanyika leo katika
ofisi za makao makuu ya Airtel morocco. Kushoto ni Mkurugenzi wa
mawasiliano wa Airtel Beatrice Singano Mallya na kulia ni Mkurugenzi wa
Masoko Cheikh Saar.
waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi
Mkuu wa Airtel Tanzania Sam Elangalloor akiongea wakati wa uzinduzi wa
promosheni ya “Jipatie Mara 5” inayowawezesha wateja wa Airtel kupata
mara tano ya wastani wa kiwango cha pesa watakayotumia kila siku ikiwa
ni sawa na 500% bonus ya muda wa maongezi. Uzinduzi huo umefanyika leo
katika ofisi za makao makuu ya Airtel morocco.
======== ====== =======
Airtel yawazawadia 500% bonus ya Muda wa Maongezi kwa wateja wake.
· Wateja wa Airtel kupata mara tano ya muda wa maongezi
· Hakuna haja ya kujiunga kwenye “ Jipatie Mara 5”
Dar es salaam Octoba 2012 Kampuni
ya simu za mikononi ya Airtel leo imezindua promosheni mpya kabambe
itakayowazawadia wateja wake nchi nzima. Promosheni hii ijulikanayo kama
“Jipatie Mara 5” itawawezesha wateja wa Airtel kupata MARA TANO ya
wastani wa matumizi ya kupiga simu kwa siku nzima.
Akiongea
wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo Mkurugenzi wa Airtel Sam
Elangalloor alisema” Airtel tunayofuraha kuwazawadia wateja wetu nchi
nzima mara tano ya wastani wa kiwango cha pesa watakayotumia kila siku
promosheni hii ya “Jipatie Mara 5”. Promosheni hii itawazawadia wateja
wa Airtel mara 5 ya matumizi yao kama bonus ya muda wa maongezi
itakayowawezesha kupiga simu kwenda namba yoyote ya Airtel kwa siku hiyo
, hii ni sawa na asilimia 500 ya bonus.
”Tumefanya
hivi ili kuendelea kuboresha huduma zetu na pia kuendeleza kudhibitisha
dhamira yetu ya kuwapatia wateja wetu nchini nzima uhuru wa kuongea
aliongeza Elangalloor .”
Akifafanua
juu ya promosheni hiyo Mkurugenzi wa kitengo cha Mawasiliano Airtel
Beatrice Singano Mallya alisema” kila mteja wa Airtel tayari
ameshaunganishwa katika promosheni hii, kinachotakiwa kufanya ni kupiga
simu upate bure salio mara 5 ya wastani wa matumizi yako ya siku kadri
mteja anavyotumia simu yake kwa kupiga simu ndivyo anajipatia nafasi
zaidi ya kuzawadia asilimia 500 ya bonus ya muda wa maongezi.
“Jipatie
Mara 5” ni promosheni kwa ajili ya wateja wa malipo ya awali, kila
mteja atapata ujumbe utakaomjulisha wastani wake kwa siku na kisha
kupokea ujumbe mara atakapopokea asilimia 500% kutoka Airtel. Kwa
maelezo zaidi juu ya huduma hii piga 0783001001 bure na kuunganishwa moja kwa moja na taarifa mbalimbali za huduma zetu”aliongeza Mallya.
Airtel
inaendelea kuboresha huduma za mawasiliano nchini. kwa kupitia huduma
ya Airtel money, Airtel imewawezesha watanzania kupata huduma za
kifedha kirahisi katika maeneo mbalimbali nchini. Kwa kuthibitisha
uwezeshaji wa upatikanaji wa huduma za kifedha Airtel imewawezesha
wateja wake kutuma na kupokea pesa chini ya shilling 100,000/= bure bila
makato yoyote. Vile vile Airtel imeendelea kupanua zaidi huduma za
internet kwa kuwezesha miji zaidi ya 30 nchini kupata internet yenye
kasi ya 3.75G .
Labels:
Michezo
8:37 PM
REDDS YATANGAZA ZAWADI KWA WASHINDI WA FAINALI YA REDDS MISS TZ 2012
Written By Koka Albert on Tuesday, October 23, 2012 | 8:37 PM
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Inmternational
Agency, waandaaji wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga, akizungumza na
waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar
es Salaam leo wakati wa kutangaza zawadi za Mshindi wa Shindano la Redds
Miss Tanzania 2012. Kulia ni Meneja wa Kinywaji cha Redds, Victoria
Kimaro.
Meneja wa Kinywaji cha Redds, Victoria Kimaro akizungumza na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo
jijini Dar es Salaam jana wakati wa kutangaza zawadi ya Mshindi wa Taji la Reddds Miss Tanzania 2012. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency,waandaaji wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga.
Kampuni ya TBL kupitia kinywaji chake cha Redds
Original ambao ndio Mdhamini mkuu wa shindano la Redds Miss Tanzania 2012, leo
tunatangaza zawadi kwa washiriki wote wanaowania taji la Redds Miss Tanzania
2012.
Akizungumza na
waandishi wa Habari Jijini Dar Es Salaam Mkurugenzi wa kampuni ya LINO AGENCY,
Hashim Lundenga alisema katika fainali za shindano la Redds Miss Tanzania 2012
zitafanyika tarehe 3 Novemba 2012 katika ukumbi wa Blue Pearl Hotel, (Ubungo Plaza) jijini Dar es salaam ambapo ni
shindano linaloshirikisha washiriki 30 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania.
Leo hii tunapenda
kuchukua nafasi hii kuwatangazia rasmi kuwa katika fainali ya Redds Miss
Tanzania mwaka zawadi zitakuwa kama ifuatavyo
1) Mshindi
wa Kwanza atapata zawadi ya pesa taslimu shs: 8,000,000/- pamoja na gari
2) Mshindi
wa pili atapata zawadi ya pesa taslimu shs: 6,200,000/-
3) Mshindi
wa tatu atapata zawadi ya pesa taslmu shs: 4,000,000/-
4) Mshindi
wa nne atapata zawadi ya pesa taslimu shs; 3,000,000/-
5) Mshindi
wa tano atapata zawadi ya pesa taslimu shs: 2,400,000/-
6) Mshindi
wa sita hadi wa 15 kila mmoja atapata shs: 1,200,000/-
7) Washiriki
wengine wote waliobaki kila mmoja atalipwa shs: 700,000/-
Katika
shindano hilo ambalo ndani yake kuna mashindano mengine madogo [Fast Tract]
tayari washiriki 3 wameshajipatia tiketi ya kuingia katika [Top 15 Finalist]
Washiriki
hao ni Lucy Stephano – Miss Photogenic
Magdalena Roy – Top Model
Mary Chizi – Top Sport Woman
Shindano
dogo lingine limepangwa kufanyika siku ya Ijumaa tarehe 26 Oktoba 2012 la
kumtafuta mrembo wenye Kipaji. Miss Talent.
Na
tarehe 28 Oktoba 2012 atapatikana Miss Personality.
Nae
Meneja wa kinywaji cha Redds Original Bi Victoria Kimaro amesema huu ni wakati
sahihi wa kumpata mshindi biomba mwenye vigezo sahihi hivyo kuwataka wapenzi
wote wa tasnia ya urembo na wapenda maendeleo kote nchini kujianda kupata
tiketi za kushudia fainali hiyo mapema ili kuweza kupata fursa ya kupata
burudani mbalimbali.Kwa kweli shindano la mwaka huu tunatarajia kuwa litafana
sana hasa kwa kuzingatia kuwa maandalizi yote yameshakamilika kwa kiwango
kikubwa na sisi kama wadhamini wakuu tunahakikisha kuwa mwaka huu kila
atakaefika kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza atakuwa na jambo la kusimulia kwa
sababu ni shindano la kipekee.
Labels:
Michezo
9:04 AM

Picha Mbali Mbali zikionyesha Aunty Ezekieli Akiwa ndani ya Shela ya Arusi ya Kiislam ..Bi Dada ndio Kashaolewa hivyo ..Hongera zake sana Tunawatakiwa maisha mema yeye na Mume Wake ...Safiiiiiiiiiiiiii

AUNTY EZEKIEL SASA MKE WA MTU
Written By Koka Albert on Saturday, October 20, 2012 | 9:04 AM

Picha Mbali Mbali zikionyesha Aunty Ezekieli Akiwa ndani ya Shela ya Arusi ya Kiislam ..Bi Dada ndio Kashaolewa hivyo ..Hongera zake sana Tunawatakiwa maisha mema yeye na Mume Wake ...Safiiiiiiiiiiiiii

Labels:
Michezo
10:48 PM
SIMBA YAVUTWA SHATI NA WAKATA MIWA WA KAGERA NA KULAZIMISHWA SARE YA GOLI 2 KWA 2
Written By Koka Albert on Wednesday, October 17, 2012 | 10:48 PM
Mshambuliaji
wa Simba, Felix Sunzu akishangilia bao la kwanza aliloifungia timu yake dhidi
ya Kagera Sugar wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Timu hizo zilitoka sare ya
2-2.
Beki wa Kagera Sugar, Salum Kanoni (kushoto) akichuano na mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi
Kiungo wa Kagera Sugar, Malegesi Mwangwa akichuana na mshambuliaji wa Simba, Mrisho Ngassa
Beki wa Kagera Sugar, Amandus Nesta akimiliki mpira huku akizongwa na
beki wa Simba, Amir Maftah katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania
Bara uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Timu hizo zilitoka sare ya
2-2.
Labels:
Michezo
2:21 AM
SUNZU AWAPIKU TWITE, OKWI KUCHAFUKA PESA
Written By Koka Albert on Monday, October 15, 2012 | 2:21 AM
|
|
MICHAEL MOMBURI
FELIX Sunzu wa Simba anaongoza katika Ukanda wa Afrika Mashariki kuwa mchezaji wa kigeni anayelipwa mshahara mkubwa zaidi, huku straika mwenzake Emmanuel Okwi akishika mkia miongoni mwa wageni wa klabu hiyo.
Wakati ukiendelea kushangaa, unapaswa kutambua kuwa Mbuyu Twite wa Yanga anaongoza katika klabu ya Yanga, huku Hamisi Kiiza ambaye ni raia wa Uganda kama Okwi akishika mkia kwa wageni wa klabu hiyo ya Jangwani.
Mwanaspoti imefanya uchunguzi kwa wachezaji wa kigeni walioko klabu kubwa za Tanzania (Simba na Yanga), Rwanda (APR na Rayon) na Kenya (AFC, Gor Mahia na Sofapaka).
SIMBA
Uchunguzi ndani ya Simba umebaini kuwa straika Mzambia Felix Sunzu analipwa Dola 3,500 (Sh.5.5 milioni) akifuatiwa na beki Komanbilli Keita wa Mali na mshambuliaji Daniel Akuffo wa Ghana ambao kila mmoja analipwa Dola 1,000 ambazo ni sawa na Sh.1.6 milioni..
Beki Mkenya, Paschal Ochieng analipwa Sh.1.2 milioni sawa na straika mpambanaji Okwi anayelipwa Dola 800 ambazo ni sawa na Sh. 1.2 milioni.
Mishahara hiyo ukiondoa wa Ochieng anayelipwa kwa fedha ya Kitanzania inaweza kuongezeka kidogo kulingana na thamani ya Dola ya Marekani kwa mwezi husika lakini bado Okwi anabaki chini miongoni mwa wachezaji wa kigeni wa Simba.
Kwa mujibu wa makubaliano ya mkataba, mshahara ni maelewano baina ya pande mbili. Ochieng, Akuffo na Keita wana deni kubwa kwa Simba kuliko ilivyo kwa Okwi na Sunzu ambao wanatisha katika kikosi cha kwanza cha Kocha Milovan Cirkovic.
Keita, Akuffo na Ochieng hawana namba kwenye kikosi cha kwanza baada ya kupokwa na wazalendo walionyesha kujiamini na uwezo mkubwa wa kuisaidia timu.
Ingawa Milovan ana siri kubwa moyoni kwa atakachofanya kwenye dirisha dogo, amesisitiza kuwa bado atawapa nafasi wachezaji hao kulingana na juhudi zao.
Kwa mujibu wa hesabu hizo kwa mwezi Simba inalazimika kulipa Dola 7,300 kama mishahara peke yake kwa wachezaji wa kigeni ambazo ukizidisha kwa mwaka mzima klabu hiyo italipa fedha za Kitanzania Sh 136 milioni. Hizo hazihusishi posho za wachezaji hao timu inaposhinda pamoja na gharama nyingine za papo kwa hapo ikiwamo usafiri na nyumba.
YANGA
Mkongomani, mwenye uraia wa Rwanda, Mbuyu Twite anaongoza orodha kwa kulipwa Dola 2,500 sawa na Sh.3.8 milioni akifuatiwa na Mnyarwanda Haruna Niyonzima na Yaw Berko wa Ghana wanaokinga Dola 1,500 kila mmoja ambazo ni sawa na Sh.2.4 milioni.
Straika wa Burundi, Didier Kavumbagu analipwa Dola 1,200 sawa na Sh.1.9 milioni huku Kiiza wa Uganda akishikilia nafasi ya mwisho kwa wageni kwa kulipwa Dola 1,000 ambazo ni Sh.1.6 milioni.
Tofauti na ilivyo kwa Simba, mastaa wa kigeni wa Yanga wamekuwa wakicheza karibu kila mechi na mara kadhaa wamejikuta wote wakianza ingawa bado mashabiki hawajavutiwa na kiwango cha soka kuendana na majina na uzoefu wa wachezaji hao wa kigeni.
Yanga kwa wageni watano inalazimika kuwalipa Dola 7,700 kwa mwezi ambazo ukipiga hesabu ya mwaka mzima ni Dola 92,400 ambazo ukizibadili kwa fedha za Tanzania ni Sh 145 milioni.
Gharama hizo hazihusishi pia posho, usafiri gharama ndogondogo ikiwamo tiketi za kwenda na kurudi na familia zao.
Kenya na Rwanda
APR ya Rwanda ndiyo iliyokuwa ikilipa mishahara mikubwa lakini imetimua wachezaji wote wa kigeni na kujipanga upya kwa kutumia wazalendo. Klabu nyingine zenye mashabiki wengi nchini humo za Rayon na Kiyovu zimesajili wachezaji kutoka DR Congo na Burundi lakini zinawalipa mishahara ya kawaida kama wazalendo.
Nchini Kenya, Mnyarwanda Jonas Nahimana wa AFC Leopard analipwa Ksh.80,000 sawa na Sh. 1.4 milioni ambazo ni mshahara sawa na wa Mkongomani Robert Binja wa Sofapaka.
Ivan Anguyo na Danny Serunkuma ambao ni raia wa Uganda wote wakiichezea Gor Mahia ndio wanaolipwa Ksh.70,000 ambazo ni Sh. 1.3 milioni.
Kipa Mtanzania Ivo Mapunda anayeichezea Gor Mahia naye ameongezewa mshahara na kufikia Ksh.60,000 ambazo ni Sh 1.1 milioni.

2:42 AM
Kocha Yanga ataka wabadilike
Written By Koka Albert on Friday, October 12, 2012 | 2:42 AM
KOCHA wa Yanga, Enerst Brandts amewataka wachezaji wake Nurdin Bakari na
Juma Seif kubadilika huku akifunga milango kwa beki Shadrack Nsajigwa.
Brandts alisema haridhishwi na kiwango cha Nurdin na Seif Kijiko kwa sasa na kuweka bayana kwamba Nsajigwa hana nafasi kwenye kikosi chake.
Brandts alisema haridhishwi na kiwango cha Nurdin na Seif Kijiko kwa sasa na kuweka bayana kwamba Nsajigwa hana nafasi kwenye kikosi chake.
Wanatakiwa kubadili uchezaji wao ili wapate nafasi kwenye kikosi cha kwanza,รฎalisema kocha huyo.
Kuhusu hatma ya beki Nsajigwa รซFusoรญ aliachwa kwenye safari ya Kanda ya Ziwa, Brandts alisema sijaona kiwango chake, sijaona umuhimu wa yeye kuja huku, hapa nipo na wachezaji 20.
Tangu kuanza msimu huu Nsajigwa ameshindwa kupata namba ya kudumu kwenye kikosi cha Yanga baada ya kuwajiliwa kwa Mbuyu Twite na Juma Abdul.
Hivi karibuni Nsajigwa alikaririwa na vyombo vya habari akisema Yanga imesajili vijana wengi wazuri ndio maana amekosa namba kwenye kikosi hicho.

Nimewapisha
vijana waweze kucheza kwani wanaonyesha uwezo mzuri, naamini kwa kikosi
tulichonacho tutafanya vizuri zaidi kwenye ligi,รฎ alisema Nsajigwa.
Labels:
Michezo
3:32 AM
Beki mpya wa Yanga, Mbuyu Twite akifanya mazoezi jana asubuhi kwenye Uwanja wa Amahoro jijini Kigali. Yanga leo itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports. Picha na Doris Maliyaga.
MBUYU NDANI YA YANGA
Written By Koka Albert on Friday, August 24, 2012 | 3:32 AM
BEKI mpya wa Yanga, Mbuyu Twite jana asubuhi alianza mazoezi rasmi na mabingwa wa Kombe la Kagame ambao leo watashuka dimbani kuivaa Rayon Sports kwenye Uwanja wa Amaholo jijini Kigali.
Katika siku za karibuni Mbuyu alitawala vichwa vya habari vya magazeti kufuatia sakata lake la kujiunga na Yanga muda mfupi baada ya Simba kutangaza kumsajili.
Akizungumzia na Mwananchi, Mbuyu alisema anajisikia vizuri kuungana na wachezaji wenzake na kuomba kupewa ushirikiano ili wafanikiwe kutwaa mataji mengi zaidi.
"Nimefurahi kujiunga na wenzangu, najisikia furaha kuwa nao na naahidi kushirikiana nao vizuri ili kuipa Yanga mataji ,"alisema Mbuyu aliyekuwa amevaa jezi namba 9 mgongoni wakati wa mazoezi hayo.
Naye kocha mkuu wa Yanga, Tom Saintfiet alisema,"Mbuyu ni mchezaji mzuri naamini ataisaidia Yanga, lakini hiyo yote itatokana na juhudi zake pamoja na wenzake."
Kocha Saintfiet alisema katika mchezo wao wa leo anategemea Mbuyu ataanzia benchi kwa kuwa ndio kwanza ameanza mazoezi na wenzake.
"Mazingira ya kambi ni mazuri, uwanja ni mzuri na tumefanya mazoezi kwa siku mbili (juzi na jana) na kesho (leo) tunacheza mechi bila shida," alisema Saintfiet.
Alisema,"mechi hiyo ni muhimu kwetu kwa sababu timu tunayocheza nayo ni nzuri na ina ushindani, naamini tutapata mazoezi ya kutosha hapa Kigali."
Katika mazoezi ya jana asubuhi kwenye Uwanja wa Amaholo, Yanga walianza kwa kukimbia na kufanya mazoezi ya viungo baada ya hapo, Saintfiet aliwataka wachezaji kucheza kwa nafasi na walitumia nusu Uwanja pamoja na kupiga mashuti.
Baada ya hapo walicheza mpira kwa mtindo wa mechi katika vikosi viwili tofauti.
Kwa mujibu wa mazoezi ya jana kikosi cha Yanga kitakuwa hivi katika mechi ya leo: Ally Mustapha, Shadrack Nsajigwa, Oscar Joshua, Nadir Haroub, Kelvin Yondani, Athuman Idd, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Didier Kavumbagu, Hamis Kiiza na Nizar Khalfan.

12:18 AM
TP MAZEMBE YAFANYA MAUAJI, SAMATTA ANG'ARA, ATUMBUKIZA LA USHINDI
Written By Koka Albert on Monday, August 20, 2012 | 12:18 AM
![]() |
| Samatta |
TOUT Puissant Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), imejiweka sawa kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Afrika, baada ya kuifunga Zamalek ya Misri nyumbani kwao, Cairo mabao 2-1.
Shukrani kwake, mshambuliaji chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ‘Sama Goal’ aliyefunga bao la ushindi katika mchezo uliomalizika dakika chache zilizopita kwenye Uwanja wa chuo cha Jeshi, Al-Qahirah mjini Cairo, dakika ya 44, akiunganisha pasi ya Tressor Mputu Mabi.
Katika mchezo huo wa Kundi B, Himoonde alitangulia kuifungia Mazembe inayofundishwa na Lamine N'Diaye dakika ya 34 pasi ya Mputu, lakini Omotoyossi akaisawazishia Zamalek inayofundishwa na kocha Jorvan Vieira dakika ya 36, pasi ya Mohamed Ibrahim.
Ushindi huo wa kwanza ugenini kwa Mazembe katika hatua ya makundi, unaifanya Mazembe ifikishe pointi saba, baada ya kucheza mechi nne, kushinda mbili, sare moja na Berekum Chelsea na kufungwa moja na Al Ahly ugenini.
Al Ahly iliyotoa sare ya 1-1 na Berekum Chelsea nchini Ghana leo, bado inaongoza kundi hilo kwa pointi zake 10, wakati wababe wapya wa Ghana wanashika nafasi ya tatu kwa pointi zao tano na Zamalek wanashika mkia wakiwa hawana pointi hata moja.
Kwa mara ya kwanza, katika mchezo wa leo, mshambuliaji mwingine wa Tanzania, Thomas Emmanuel Ulimwengu alikaa benchi, kwani awali amekuwa havai hata jezi.
Ulimwengu tangu asajiliwe Mazembe msimu uliopita, hii ni mechi yake ya kwanza anakaa benchi kwenye michunao ya Afrika, hizi zikiwa ni dalili njema kwamba anakaribia kuanza kucheza.
Katika mchezo huo, kikosi cha Zamalek kilikuwa; Abdel Wahed El Sayed, Mahmoud Fathalla, A. Mendomo, Sabri Rahil, Hazem Emam/ Said Kotta dk 77, Hani Saied, Ahmed Samir, Ibrahim Salah/ Mohamed Ibrahim Islam Awad/dk63, R. Omotoyossi/ Ahmed Gaafar dk71.
Mazembe; M. Kidiaba, H. Himoonde, F. Kasonde/ M. Ndonga dk 46
, J. Kasusula, S. Sunzu, J. Kimwaki, R. Kalaba, P. Ochan/ N. Kasongo dk 63, M. Mputu, G. Singuluma, M. Samata/ D. Kanda Dk 86.
Labels:
Michezo
6:56 AM
KLABU ya Yanga jana imewasilisha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), majina ya wachezaji 28 iliowasajili kwa ajili ya msimu ujao, yakiwamo pia majina ya Kelvin Yondani na Mbuyu Twite, ambao Simba wanadai wana mikataba nao.
Klabu ya Simba nayo inatarajia kupeleka usajili wake, yakiwemo majina ya Yondani na Twite, beki wa kimataifa aliyekuwa akicheza timu ya APR ya Rwanda kabla ya vigogo kila mmoja kudai ni mali yake.
Katika usajili wa Yanga uliowasilishwa jana TFF mbali na jina la Yondani na Twite, pia kuna makipa Yaw Berko, Ally Mustapha na Said Mohamed.
Walinzi wa Pembeni ni Shadrack Nsajigwa, Godfrey Taita, Juma Abdul, Oscar Joshua, David Luhende na Stephano Mwasika.
Walinzi wa kati ni Nadir Haroub, Ibrahim Job na Ladislaus Mbogo.
Viungo wa ulinzi ni Athuman Idd, Juma Seif Kijiko na Salum Telela, wakati wa pembeni ni Nizar Khalfan, Shamte Ally, Idrisa Rashid na Omega Seme.
Kwa upande wa viungo washambuliaji, Haruna Niyonzima, Rashid Gumbo na Nurdin Bakari, huku washambuliaji wakiwa Said Bahanunzi, Hamis Kiiza, Didier Kavumbagu na Jeryson Tegete
Mbali na kikosi hicho pia Yanga imewasilisha majina 22 ya timu ya vijana U20 ambayo wapo pia wachezaji wa timu ya taifa Saimon Msuva na Frank Domayo ambayo majina yao yamepelekwa kwa timu ya vijana lakini wataitumikia timu hiyo kwa kucheza mechi za wakubwa.
Wengine, Geofrey Nyalusi, Yusuf Abdul, Said Manduta, Zuberi Juma, Said Mashaka, Benson Michael, Issa Ngao, Rashid Said.
Majina mengine kwenye orodha hiyo ni Frank Domayo, Omary Nasry, Clever Charles, Mwinyi Bakari, Mpenda Abdallah, Abdulahman Ally, Hussein Moshi, Abdallah Salum na Rehani Kibingu.
Wengine ni Saimon Msuva, George Banda, Notikely Masasi, Suleiman Ussi na Kassim Jongo.
Usajili Yanga watua TFF
Written By Koka Albert on Friday, August 17, 2012 | 6:56 AM

6:14 AM
Hii Kweli Kali,,,,
Written By Koka Albert on Thursday, August 16, 2012 | 6:14 AM
Labels:
Michezo
6:28 AM
Muamba 'devastated' after being told his career is over five months after heart attack
Written By Koka Albert on Wednesday, August 15, 2012 | 6:28 AM
Bolton midfielder Fabrice Muamba has spoken of his devastation at being forced to retire from football due to the heart attack he suffered in March.
The npower Championship club have announced that the 24-year-old - who had hoped to make a comeback - had made the decision to retire from the professional game after taking medical advice.
'While the news is devastating, I have much to be thankful for,' said Muamba.
Miracle recovery: Bolton's Fabrice Muamba suffered a heart attack in March
Back at Bolton: Muamba (centre) at a club 'family fun day' last Sunday
Torchbearer: Muamba carried the Olympic Flame through Waltham Forest
'I thank God that I am alive and I pay tribute once again to the members of the medical team who never gave up on me.'
The Bolton midfielder 'died' for 78 minutes on the pitch at White Hart Lane after suffering a cardiac arrest during an FA Cup match.
Muamba collapsed while playing for Bolton against Tottenham at White Hart Lane in an FA Cup match on March 17.
He received lengthy attention on the pitch and it later emerged that his heart had stopped for 78 minutes.
Fateful day: Muamba suffered a cardiac arrest on the pitch at White Hart Lane in March
Helpless: Bolton and Spurs players, and Wanderers boss Owen Coyle (centre), watched the terrifying scenes unfold
Remarkably he made a stunning recovery and left hospital a month later.
Muamba told Bolton's official website: 'Since suffering my heart attack and being discharged from hospital, I have remained utterly positive in the belief I could one day resume my playing career and play for Bolton Wanderers once again.
'As part of my on-going recovery, last week I travelled to Belgium to seek further medical advice from a leading cardiologist.
'But the news I received was obviously not what I had hoped it would be and it means I am now announcing my retirement from professional football.
Tributes: Hundreds of get-well messages were left for Muamba at Bolton's Reebok Stadium while he was in hospital
Rallying round: The football world united to send Muamba a get-well-soon message to the stricken Muamba
'Football has been my life since I was a teenage boy and it has given me so many opportunities.
'Above all else, I love the game and count myself very lucky to have been able to play at the highest level.
'I would also like to thank everyone who has supported me throughout my career, and the Bolton fans who have been incredible.
'I am blessed to have the support of my family and friends at this time.'
Thank you: Muamba with cardiologist Dr Andrew Deaner (left) and consultant cardiologist Dr Sam Mohiddin, the doctors who saved his life following his heart attack
Bolton chairman Phil Gartside said: 'To have Fabrice here and with us is truly amazing and we are all very thankful for that.
'We are all hugely disappointed that Fabrice will be unable to return to his playing career but we have to be guided by the medical recommendations and the best interests of Fabrice.
'The most important thing is that Fabrice and his family have the rest of their lives ahead of them.'
Bolton boss Owen Coyle said: 'We have spoken with Fab and he knows we will always support him in whatever he wants to do and that we will always be here for him.
Not a dry eye in the house: Muamba made an emotional return to the Reebok Stadium in May
Not a dry eye in the house: Muamba made an emotional return to the Reebok Stadium in May
Miracle man: Muamba with his fiancee Shauna after his stunning recovery
'He is obviously massively disappointed that he won't be able to carry on his career, but everyone has seen what a fighter and strong person he is in mind and body.
'We know that he will go on to achieve great things and within all this disappointment, the most important thing is that he is here, alive, today.'
Muamba and his family fled war in the Democratic Republic of Congo, seeking asylum in the UK.
Despite arriving in London age 11, unable to speak English, he went on to achieve 10 GCSEs and three A levels and joined Arsenal's youth academy in 2002. He later joined Birmingham, before moving to Bolton in 2008.

All smiles: Muamba received an Honorary Degree from Bolton University
Labels:
Michezo
msanii wa kizazi kipya Lady Jadee akiwa ameweka pozi huku akita