Home » » BODI YA BAHATI NASIBU TANZANIA YATEKETEZA MASHINE ZILIZO INGIZWA NCHINI KIHOLELA

BODI YA BAHATI NASIBU TANZANIA YATEKETEZA MASHINE ZILIZO INGIZWA NCHINI KIHOLELA

Written By Koka Albert on Sunday, November 4, 2012 | 11:00 PMMkurugezi Mkuu wa bodi ya bahati nasibu Tanzania,Abasi Tarimba akisimamia uteketezaji wa mashine za kuchezesha bahati nasibu ambazo zimeingizwa nchini bila kufuata utaratibu ambazo zimeletwa na kufungwa maeneo ya ostabay zikitokea nchini urusi ambapo nchi ya urusi imepiga marufuku mchezo wa bahati nasibu.mashine hizo zilikuwa 80 zenye thamani ya shilingi milioni 300 za kitanzania.
Mashine hizo zikiteketezwa kwa kukanyagwa na Katapila.
Share this article :

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger