Home »
Habari
» RAIS KIKWETE WAKATI WA SHEREHE ZA MIAKA 25 YA KUTIMIZA UASKOFU WA ASKOFU TELEPHOL MKUDE MOROGORO.
RAIS KIKWETE WAKATI WA SHEREHE ZA MIAKA 25 YA KUTIMIZA UASKOFU WA ASKOFU TELEPHOL MKUDE MOROGORO.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Askofu mkuu wa jimbo kuu la
Morogoro Telespor Mkude wakati wa maadhimisho ya sherehe ya miaka 25 ya
uask
ofu wake katika viwanja vya St Peters Junior Seminary mkoani Morogoro.
RAIS
Jakaya Kiwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa
serikali na dini wakati alipohudhuria sherehe za miaka 25 ya Askofu wa
jimbo kuu la Morogoro Telesphol Mkude wa pili kulia kwa rais katika
viwanja vya shule ya ST Peter mkoani Morogoro leo.
Post a Comment