Hoteli ya kitalii ya Nashera alipokuwa Mhe. Malima.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adamu Kighoma Malima ameibiwa vitu vyake alivyokuwa navyo vianavyokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya sh. milioni 15 katika hoteli ya kitalii ya Nashera ya mjini Morogoro.
Taarifa za kipolisi zilizopatikana kutoka mjini hapo zimethibitisha kutokea wizi huo zikisema ulitokea usiku wa kuamkia leo ndani ya hoteli hiyo aliyokuwa amefikia katika ziara yake mkoani hapa.
Taarifa za kipolisi zilizopatikana kutoka mjini hapo zimethibitisha kutokea wizi huo zikisema ulitokea usiku wa kuamkia leo ndani ya hoteli hiyo aliyokuwa amefikia katika ziara yake mkoani hapa.
Post a Comment