
Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akilia kwa uchungu.

Maelfu ya watu wakiongezeka kuja katika Mazishi ya mwandishi wa habari wa Channel 10 Daudi Mwangosi muda huu.

Mheshimiwa Mark Mwandosya ambaye ni Waziri ofisi ya Rais na pia Mbunge wa Rungwe Mashariki akitoa salamu kwa niaba ya Serikali.
Watu wakiwa wengi na wenye utulivu wakisikiliza watu mbalimbali wakitoa salam zao kwa ndugu wa Marehemu.

Watu wakiwa wengi na wenye utulivu wakisikiliza watu mbalimbali wakitoa salam zao kwa ndugu wa Marehemu.
Mjane wa Marehemu Daudi Mwangosi aliyejishika, akiwa na uchungu muda huu.
Ibada ikiwa inakaribia kuanza.
Ibada ya mazishi ndio imeanza muda huu.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa wenye majonzi makubwa.
Waandishi wa Habari wakiwa katika msiba wa kwanza kutoka kulia ni Ndugu Joseph Mwaisango ambaye ni mwandishi mkuu wa Mbeya yetu Blog, Rais wa UTPC Keny Simabaya, pamoja na Felix Mwakyembe .

R.I.P MWANGOSI

R.I.P MWANGOSI
+ comments + 1 comments
Tunapoelekea ni pabaya sana jamani!!!!!!!!
Post a Comment