Matumizi mabaya ya vipodozi yameanza kumuathiri wema Sepetu ambaye ni miss Tanzania 2006.
Wema ambaye umri wake bado haujamtupa , hivi sasa anakabiriwa na tatizo
la ngozi kutokana na michirizi kusambaa mwili mzima hasa mapajani.
Kamera zetu si mara ya kwanza kumshuhudia Mrembo huyu akizingirwa na uzee kwani miezi kadhaa nyuma tuliwahi andika habari inayofanana na hii lakini ikielezea zaidi michirizi ya mapajani.
Tofauti na hivyo, hivi sasa michirizi hiyo imekimbilia kifuani na
mabegani hali inayoashiria kwamba siku si nyingi itahamia usoni...
"Ukweli Wema Sepetu sasa amebaki sura tu,mwili umemtupa kabisa .Nadhani
hii yote inatokana na matumizi mabaya ya mikorogo"...alisema shuhuda
mmoja akimtazama Wema sepetu aliyekuwa jaji katika shindano moja la
umiss jijini Dar

Baada ya kumsikia shuhuda huyo akimtoa kasoro mrembo huyo, mwandishi
wetu alitinga nyumbani kwa Wema Sepetu kufanya naye mahojiano juu ya
jambo hili

Alipofika nyumbani hapo, mwandishi wetu aligonga geti na kufunguliwa na
dada mmoja ambaye alidai kuwa maadam Wema alikuwa amelala na kwamba
hawezi kuamshwa mpaka aamke mwenyewe.
Post a Comment