Home » » TUNAOMBA RADHI: MVULANA NA MSICHANA WAJINYONGA HADI KUFA BAADA YA WAZAZI KUKATAA WASIOANE

TUNAOMBA RADHI: MVULANA NA MSICHANA WAJINYONGA HADI KUFA BAADA YA WAZAZI KUKATAA WASIOANE

Written By Koka Albert on Saturday, June 22, 2013 | 8:40 AM


Mkasa huu umetokea huko Congo.
 
Wapenzi hawa wawili waliamua kuchukua jukuma la kujinyonga kwa kujininginiza kwenye mti hadi kufa baada ya wazazi wa mvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana huyo.
 
Baada ya jitihada zao za kuwashawishi kushindikana basi waliamua kuchukua hatua hiyo ya kujinyonga....Wazazi tuwe makini na maamuzi yetu mbele ya watoto
Share this article :

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger