


Nilikuwa busy napekua katika
mitandao kadhaa...Kusema kweli nilipatwa na mshangao mkubwa
baada ya kuinasa picha ya afande live ikizagaa
katika mitandao ya udaku......
Kwa kweli sina lolote la
kusema na sijui alizipiga lini na kwa lengo
gani.....Naamini gazeti la AMANI lina data kamili.
Post a Comment