Home » » RAIS JAKAYA KIKWETE AZIMA MWENGE MKOANI SHINYANGA

RAIS JAKAYA KIKWETE AZIMA MWENGE MKOANI SHINYANGA

Written By Koka Albert on Monday, October 15, 2012 | 1:24 AMRais Jakaya Kikwete akimkabidhi cheti na kikombe Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Ms Margareth Nyalile ambaye Manispaa yake ilishinda nafasi ya kwanza katika kufanikisha mbio za mwenge mwaka huu. Sherehe za kuzima mwenge zilifanyika mjini Shinyanga tarehe 14.10.2012
Rais Jakaya Kikwete akipokea mwenge kutoka kwa kiongozi wa mbio za mwenge wa mwaka 2012 Captain Honest Mwanossa wakati wa sherehe za kuzima mwenge zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga tarehe 14.10.2012. wa pili kutoka kushoto ni Waziri wa habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkukangara.
Share this article :

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger