Home »
Habari
» MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAAGA MAHUJAJI JIJINI DAR JANA
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAAGA MAHUJAJI JIJINI DAR JANA
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na baadhi ya Mahujaj kati ya 150 walioondoka jana kuelekea
Saud Arabia mji Mkuu wa Makka, kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija
inayofanyika kila mwaka. Makamu alifika katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jana jioni Oktoba 14, 2012 na kuzungumza na
Mahujaj hao kuwaaga na kuwakabidhi Misahafu kila mmoja kabla ya
kuondoka.
Sehemu
ya Mahujaj kati ya 150 walioondoka jana kuelekea Saud Arabia mji Mkuu
wa Makka kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija inayofanyika kila mwaka,
wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana Oktoba 14,
wakisubiri kupanda ndege kuanza safari hiyo. Mahujaj hao waliagwa na
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Misahafu, mmoja kati ya Mahujaj 150, wakati alipofika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana Oktoba 14, 2012 kwa
ajili ya kuwaaga Mahujaj hao walioondoka kuelekea Saud Arabia mji Mkuu
wa Makka, kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija inayofanyika kila mwaka.

Post a Comment