Home » » ASKARI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA WAMCHAPA ASKARI WA USALAMA BARABARANI KWENYE MATAA YA UBUNGO KWASABABU YA KUWAWEKA KWENYE FOLENI MUDA MREFU

ASKARI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA WAMCHAPA ASKARI WA USALAMA BARABARANI KWENYE MATAA YA UBUNGO KWASABABU YA KUWAWEKA KWENYE FOLENI MUDA MREFU

Written By Koka Albert on Saturday, October 20, 2012 | 8:25 AM

Hapa wanajeshi na magari yao walizuiliwa maeneo ya Tabata Dampo
Hapa Wakitafuta Mwafaka baada ya Wanajeshi Kumchapa askari wa usalama barabarani katika Mataa ya Ubungo na Walipofika Tabata Dampo wakazuiliwa
Baadhi ya wanajeshi wakiwa Kwenye lori lao
Wakasababisha Foleni
Haya Ndio Malori ya Wanajeshi yaliyokuwa kwenye tukio
Hapa Wakitafakari Cha Kuwafanya Wanajeshi Hao

Wanajeshi wanaokadiriwa kuwa 50 kwa pamoja wamemshambulia trafiki kwenye taa za ubungo na kuondoka kwa madai kuwa kawachelewesha kwenye foleni,baada ya kuondoka magari hayo ya jeshi yalizuiwa kwa muda wa zaidi ya saa moja maeneo ya Tabata dampo.kabla ya kuachiwa kuendelea na safari yake.
Share this article :

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger