Home » » CHADEMA WAELEZA YALIOYO MOYONI KUHUSIANA NA VURUGU ZILIZOTOKEA DAR ES SALAAM NA ZANZIBAR

CHADEMA WAELEZA YALIOYO MOYONI KUHUSIANA NA VURUGU ZILIZOTOKEA DAR ES SALAAM NA ZANZIBAR

Written By Koka Albert on Monday, October 22, 2012 | 2:17 AM Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mabele Marando akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam juzi juu ya matukio makubwa yaliyotokea nchini Tanzania yakiwemo yale ya kuchomwa kwa makanisa, maandamano ya wafuasi wa dini ya Kiislamu pamoja na tukio la kutoweka kwa Sheikh Farid wa Zanzibar ambaye kwa sasa amepatikana akiwa hai.


 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Prof. Abdallah Safari akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam.

Share this article :

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger