Home » » BARNABA APATA MTOTO WA KIUME NA KUMPA JINA LA STEVEN KWA KUMUENZI KANUMBA

BARNABA APATA MTOTO WA KIUME NA KUMPA JINA LA STEVEN KWA KUMUENZI KANUMBA

Written By Koka Albert on Sunday, April 8, 2012 | 7:34 AM

Wakati watanzania wakiwa kwenye majonzi makubwa kwa kuondokewa na kipenzi Steven Kanumba .Usiku wa kuamkia leo majira ya saa 6 msanii kutoka THT Barnabas amepata mtoto wa kiume na ili kumuenzi Kanumba ameamua kumpa mtoto wake jina la Steven Kanumba
Share this article :

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger