Home » » Diamond Alivyofunika Dar live ndani ya Helcopter

Diamond Alivyofunika Dar live ndani ya Helcopter

Written By Koka Albert on Monday, April 30, 2012 | 12:05 AM

 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond alifunika vilivyo ndani ya Dar live baada ya kuingia kwa staili ya aina yake akiwa amevalia mavazi kama Askari. 

Kwa wale wanaomjua Jamaa huyu,,show aliyopiga haikuwa ya kitoto.,,,,,aliamba sana,,,,,Big up Diamond
Share this article :

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger