Kichanga kikiwa kimetupwa katika Dampo la takataka mtaa wa Soweto jijini Mbeya.

Baadhi ya akina Mama na watu wengine waliofika eneo hilo kutazama kichanga hicho ambapo Mama Mzazi hajafahamika mpaka sasa. Hata hivyo Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi.
+ comments + 1 comments
Mama kuweni na huruma aiseeeeee. Kama hamuwezi kulea hakuna haja yavkubeba mimba
Post a Comment