Home » » Ajali mbaya gari la NBS imetokea

Ajali mbaya gari la NBS imetokea

Written By Koka Albert on Wednesday, May 2, 2012 | 4:04 AM

 
Gari inayofanya safari zake kutoka tabora kuelekea arusha NBS IMEANGUKA NUSU KM KUINGIA NZEGA MJINI. Chanzo cha ajali tairi ya mbele imepasuka na mwendo kasi. Tutazidi kuwaabarisha kadri tunavyopata habari mpya za tukio hilo,,,,Share this article :

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger