Home » » Mnyika amgaragaza tena Hawa Ng'umbi mahakamani

Mnyika amgaragaza tena Hawa Ng'umbi mahakamani

Written By Koka Albert on Thursday, May 24, 2012 | 2:26 AM

 
Kwa habari zilizoifikia Blog hii ni kwamba Mbunge wa Jimbo la Ubungo John Mnyika (Chadema)  amemshinda tena Hawa Ngh’umbi (CCM) baada ya Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam kutoa hukumu  kuwa ushindi wa Mbunge Mnyika  uliofanyika Oktoba 31, 2010 ulikuwa wa halali.Kwa taarifa zaidi ungana nasi baadaye.
Share this article :

+ comments + 1 comments

Anonymous
May 24, 2012 at 6:20 AM

Haki imetendeka

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger