Baadhi ya wananchi wa Zanzibar kwenye kisiwa cha Unguja, wameandamana kupinga muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar inayopelekea kua Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maandamano hayo yameleta mchafuko unaoendelea Zanzibar, huku ikisababisha wakazi wengi wa Unguja kujifungia majumbani mwao wakihofia usalama wao,huku biashara nyingi zikisimama pamoja na uharibifu wa mali. Polisi katika kisiwa hicho wanaendelea kufanya jitihada kutulizza ghasia hizo.





Tutazidi kuwahabarisha yatakayojiri.
Post a Comment