Home » » Madudu Ya General Hospital Dodoma

Madudu Ya General Hospital Dodoma

Written By Koka Albert on Wednesday, May 23, 2012 | 5:32 AM

Hebu jiulize kama mama yako mzazi asingepata huduma sahihi wakati anajifungua ujauzito wako ingekuwaje??????

Haya yametokea hivi majuzi katika hospital ya mkoa wa dodoma,,,,Mkasa huu ulimpata mwanamke mmoja kwa jina alijitambulisha kama Deborah John,, Huyu mama alitoka kwao maili mbili kwa miguu na ujauzito wake wa masaa kadhaa mpaka kujifungua,,kufika General HOSPITAL et anaambiwa akanunue gloves,,,,,,

Maskini wa watu hakuwa hata na hela,,ikabidi atembee tena kutoka hospital mpaka chuo cha St. John's tawi la area c,,angalau akaombe wana chuo hata kazi ya kufua apate hela ya gloves,,,

Kabla hata hajafanikiwa,,,akapamatwa na uchungu,,,wasamaria wema ambao ni waalimu wa pale chuoni wakambeba na kumkimbiza kwenye ile ile Hospitali ya General,,,na wakati huu kwasababu alikuwa na waalimu amabao walijitambulisha wanafanya kazi St John's,,,hawakuhiaji tena Gloves.......

Mama kajifungua na kwa bahati mbaya mwanae aliyembeba kwa miezi tisa tumboni AKAFARIKI,,,,,,,

HII NI HAKI KWELIIIIIIIII......NI HIVI MAJUZI NILISIKIA KIONGOZI  MMOJA AKITANGAZA KWAMBA ASIDAIWE CHOCHOTE MAMA MJAMZITO AKIENDA KUPATA HUDUMA KWENYE HOSPITALI YOYOTE,,,,,AMA HUWA WANASEMAGA TU KUTUFURAHISHA?

SHAME UP ON HAO WALIOHUSIKA,,,,,,........
Share this article :

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger