Home » » NYIMBO MPYA YA ZITTO KABWE,HALIMA MDEE,JANUARY MAKAMBA,VICKY KAMATA NA ESTER BURAYA!!.

NYIMBO MPYA YA ZITTO KABWE,HALIMA MDEE,JANUARY MAKAMBA,VICKY KAMATA NA ESTER BURAYA!!.

Written By Koka Albert on Friday, May 18, 2012 | 12:16 AM

Wabunge machachari kabisa pale mjengoni ambao ndio vijana wanaotutetea kama walivyotajwa hapo juu wako studio tayari kwa kuachia ngoma ambayo nahisi itakuja kubamba vilivyo. 

Ndani ya ngoma hiyo ambayo zitasikika sauti za wabunge hao tu kutakuwa na ujumbe wa kuhamasisha vijana na maisha ya sasa na pia kuwapa changamoto ambazo zitaweza kuwasaidia kupambana na maisha yanayoendelea duniani,japo taarifa kamili sikuweza kupata ni wapi ngoma hiyo inafanyika na lini pia itatoka lakini shabiki wa muziki pamoja na wewe kijana kaa mkao wa kuipokea ngoma hiyo!
Share this article :

+ comments + 1 comments

Anonymous
May 22, 2012 at 1:03 AM

Nimependa sana kwani mnapost habari za ukweli sana

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger