Musa Mateja na Erick EvaristHABARI kuwa Wema Isaac Sepetu anadaiwa kumiliki bastola, zimezua balaa kwa mastaa hivyo kumuogopa kama ukoma wakihofia usalama wao. Mlimbwende huyo aliyekuwa Uarabuni kimatanuzi hivi karibuni, amewafunga midomo mastaa wa kike Bongo wanaopenda bifu naye kwani kwa sasa wanamgwaya baada ya kusambaa kwa habari kuwa ana kifaa hicho.
“Kwa taarifa yenu, mkiendelea kumchezea Wema itakula kwenu, sasa hivi ana mguu wa kuku (bastola), kajiimarisha vilivyo kiulinzi, labda ni kwa sababu anakaa mwenyewe ‘so’ inamsaidia kujilinda,” kisema chanzo hicho.

Post a Comment