Home » » Je umri wa kuishi kutofautiana na maisha?

Je umri wa kuishi kutofautiana na maisha?

Written By Koka Albert on Wednesday, March 28, 2012 | 6:08 AM

Kwa maoni yangu ni kwamba, Ni ukweli kwamba vinategemeana. Kila mtu ana kumbana na vitu mbalimbali kwenye maisha na kupitia matatizo mbalimbali. Baadhi ya watu au viumbe hai wamezaliwa wakiwa na matatizo tofauti tofauti. Wazo linguine ni kwmba hakuna mtu anayejua haswa atatoweka vipi duniani. Wengine wanakufa wakiwa na umri mdogo, inaweza kuwa kwa ajali ya gari, ugonjwa, ama kitu chochote. Kuna mambo mengi sana ambayo yanachangia mtu kuishi maisha marefu ama mafupi (matarajio ya maisha), (Life expectancy). Kila nchi na watu wake wana matarajio yao ya maisha. Mfano mzuri ni utakuwa kwa nchi zinazoendelea wana mri mfupi wa kuishi kutokana na maisha magumu wanayopitia. Kama nilivosema kna sababu nyingi ambazo zinaweza zikampelekea mtu kuishi mda mrefu ama mfupi.
Naombeni maoni yenu wadau
Share this article :

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger