



Waziri wa Afya wa serikali ya kitaifa Zanzibar, Juma Duni Haji (kulia)akisalimiana na Mwawakilishi wa chama hicho.
Afande ele (Kushoto) akitoa burudani katika mapokezi hayo.
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, amewasili jana akitokea nchini Merekani na kupata mapokezi ya kihistoria
Prof Limbumba alikuwa akirejea kutoka Merekani ambako alienda kujadili hali ya uchumi duniani. Maelfu ya wanachama na wakereketwa wa chama hicho walijitokeza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam ambapo waliyafunika karibu maeneo yote ya uwanja huo kwa ndani na nje.
Post a Comment