Home » » KIBAKA ALA KICHAPO AKIJARIBU KUIBA BAISKELI BENKI MORO

KIBAKA ALA KICHAPO AKIJARIBU KUIBA BAISKELI BENKI MORO

Written By Koka Albert on Friday, March 2, 2012 | 5:47 AM

Tatizo la watanzania kujichkulia sheria mkononi bado laendelea,,,,,Cheki hii
NA DUSTAN SHEKIDELE, GPL, MOROGORO
KIJANA mmoja anayesadikiwa kuwa kibaka, jana alinusurika kuuawa na wananchi baada ya kukamatwa akijaribu kuiba baiskeli katika eneo la nje ya benki ya NMB tawi la Wami katika Manispaa ya Morogoro.

Mtu huyo ambaye jina lake halikufahamika, aliepuka kifo baada ya kukimbilia kwenye duka moja la muuza dagaa ambaye aliwazuia wananchi wasimuulie hapo kwa kumfungia dukani humo.
Share this article :

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger