Home » » Mama Zetu nao wafumwa wakijiuza

Mama Zetu nao wafumwa wakijiuza

Written By Koka Albert on Friday, March 2, 2012 | 1:58 AMNa Richard Bukos
INASIKITISHAJE? Wakati wenzao wakijituma kufanya kazi ili kusukuma mbele gurudumu la maisha, akina mama wenye umri uliosogea, ambao ni mama zetu, wamenaswa laivu wakifanya biashara haramu ya kuuza miili yao.
WANASWA ENEO LA WAZI
Katika oparesheni iliyoendeshwa na jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita, akina mama hao walitiwa nguvuni baada ya kukutwa wakijiuza katika eneo la wazi, Buguruni Kimboka jijini Dar es Salaam.
Majina ya wanawake hao na umri wao katika mabano ni Sauda Mussa (52), Jacqueline Francis (40), Laurencia Rafael (40) na Grace Robinson (40).

Share this article :

+ comments + 2 comments

March 2, 2012 at 2:25 AM

Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh sio mchezo mdau yani kama mama zetu wamefikia huko basi the world is up.

March 2, 2012 at 4:23 AM

Yah men,,we have to pray sana maana kila kitu nowdays kinakuwa maajabuu,,,kila siku tukio jipya,,,,take care

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger