Home » » Mastaa waanzisha genge la usagaji Dar

Mastaa waanzisha genge la usagaji Dar

Written By Koka Albert on Friday, March 2, 2012 | 6:06 AM


Musa Mateja na Erick EvaristAMA kweli dunia imekwisha! Imebainika kuwa baadhi ya mastaa wa kike wa tasnia mbalimbali Bongo, wamejiingiza kwenye magenge ya kufanya vitendo vya ngono vya wenyewe kwa wenyewe (usagaji).

Kwa mujibu wa uchunguzi wetu, baadhi ya mastaa hao wamekuwa malimbukeni kwa kufanya vitendo vilivyo nje ya maadili ya Kitanzania likiwemo hili la usagaji.
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, wanachokifanya mastaa hao kwa sasa ni kuzungukana wao kwa wao wakifanya dhambi hiyo.

Share this article :

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger