Home » » Barnaba anategemea kupata mtoto muda wowote kwanzia sasa

Barnaba anategemea kupata mtoto muda wowote kwanzia sasa

Written By Koka Albert on Friday, March 2, 2012 | 1:12 AM

Msanii kutoka THT mzee wa "Milele Daima, Wrong Number & Magube gube etc. anaejulikana kama Barnaba ambae siku chache zilizopita aliweka wazi kuhusu mahusiano yake yeye na mpenzi wake na kusema kua anatarajia kupata mtoto sasa muda umewadia baada ya Mpenzi wake msanii huyo kukimbizwa katika Hosptali ya Aghakan pale alipoanza kuzidiwa.

http://www.teentz.com/profiles/blogs/breaking-news-barnaba-anategemea-kupata-mtoto-muda-wowote-kwanzia
Share this article :

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger