KASI ya kuwania kitita cha shilingi milioni 10 za shindano la ‘Cheza Vaa, Imba kama Rihanna’, inazidi kupamba moto kwa washiriki wa shindano hilo, kila mmoja akiwania anakitwaa kitita hicho.
Washiriki 10 waliosalia wanatarajiwa kupanda jukwaani tena Jumapili hii ndani ya Ukumbi wa Dar Live Mbagala, Zakheem, jijini Dar, ambapo baadhi yao wataliaga shindano na kubaki wanane watakaotinga fainali za shindano hilo.

Post a Comment