Home » » Kundi la Original Commedy ladaiwa kuisha

Kundi la Original Commedy ladaiwa kuisha

Written By Koka Albert on Friday, March 2, 2012 | 1:39 AM


KUNDI la wachekeshaji la Orijino Komedi linaloundwa na mastaa, Emmanuel Mgaya ‘Masanja’, Lucas Mhuvile ‘Joti’, Joseph Shamba ‘Vengu’, Slivery Mujuni ‘Mpoki’, Alex Chalamila ‘MacRegan’ na Isaya Mwakilasa ‘Wakuvwanga’ chini ya Sekioni David ‘Seki’, linadaiwa kwisha huku kila mmoja akijiingiza katika fani nyingine ili kujipatia mkate wa siku.
http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/orijino-komedi-kwisha
Share this article :

+ comments + 1 comments

March 2, 2012 at 2:18 AM

Jamani is it because of VENGU kuumwa au? wanasikitisha hawa watu?

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger