Home » » Msanii Kutoka Nigeria hadi Tanzania kuja kufanya ngoma na CBH.

Msanii Kutoka Nigeria hadi Tanzania kuja kufanya ngoma na CBH.

Written By Koka Albert on Saturday, March 3, 2012 | 12:37 AM


CBH- Nina furaha sana kwa haya yote ,kuwa chini ya lebo ya FLAVE MUSIC AFRICA (FMA) na pia kufanya kazi na msanii kutoka nchi nyingine .B SKILLS kaja bongo kutoka Nigeria tu kwaajili ya project yangu mpya,kazipenda kazi zangu ,mtindo wangu na video yangu.

B Skills (Bayo Coker) msanii kutoka Abuja,Nigeria kaingia jana ijumaa(2/Feb) Dar es salaam tayari kwa kupiga kazi ngoma mpya na CBH kwenye nyimbo yake mpya ambao utakuwa katika style ya SAMPA.
Share this article :

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger