Home » » SIMBA SC YAILAZA SC KIYOVU 2-1

SIMBA SC YAILAZA SC KIYOVU 2-1

Written By Koka Albert on Sunday, March 4, 2012 | 10:27 PMNahodha wa Simba SC Juma Kaseja akiwaongoza wachezaji na viongozi wa Simba kushangilia baada ya kuichapa SC Kiyovu leo

Mashabiki wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao.


Emmanuel Okwi akiipangua beki ya Kiyovu.
Timu ya soka ya Simba SC leo imeibuka kidedea baada ya kuilaza SC Kiyovu ya Rwanda mabao 2-1 katika mchezo wa marudiano wa raundi ya awali ya Kombe la Shirikisho la klabu za Afrika, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao yote mawili ya Simba yamewekwa kimiani na mshambuliaji  Felix Sunzu akipokea pasi safi kutoka kwa Emmanuel Okwi. Kwa ushindi huo, Simba wamesonga mbele katika michuano hiyo.
Share this article :

Post a Comment

KARIBU KATIKA WEBSITE YA KIJANJA, KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UTAPATA MAMBO YA ACADEMIC. KARIBU SANA
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. GetInformedTz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger